Beki kisiki wa Yanga Kelvin Yondani ameripoti kambi ya timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' inayoendelea na maandalizi ya mchezo dhidi ya Kenya utakaopigwa Julai 28
Mkongwe huyo hakufika mkoani Morogoro katika kambi ya Yanga ikielezwa alikuwa majeruhi
Yondani aliumia Misri wakati akiitumikia timu ya Taifa kwenye michuano ya Afcon
Alikosa mchezo wa mwisho wa Stars dhidi ya Algeria
Wachezaji wengine wa Yanga Metacha, Boxer, Fei Toto na Makame waliripoti kambini juzi
ADVERTISE HERE