Tangu ajiunge na Yanga kiungo mshambuliaji Deus Kaseke amekuwa akitumia jezi namba nne
Hata hivyo nyota huyo aliyezaliwa August 27 miaka 24 iliyopita, msimu ujao atatumia jezi namba 27 inayokwenda sawa na tarehe aliyozaliwa
Jezi namba nne anayoiacha, itatumiwa na kiungo Raphael Daudi Lothi ambaye awali alikuwa akitumia jezi namba 29
Ni utamaduni kwa wanacheza kuchagua namba za jezi wanazopendelea wakiwa na sababu zao binafsi
ADVERTISE HERE