Nyota watano Yanga kuingia kambini Stars, wataikosa AS Vita

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
•
21 Jul 2019
Nyota watano Yanga kuingia kambini Stars, wataikosa AS Vita

Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' inatarajiwa kuingia kambini wakati wowote kuanza maandalizi ya mchezo dhidi ya Kenya

Tanzania na Kenya zitachuana Julai 28 katika mchezo wa kwanza wa kusaka tiketi ya kutinga fainali za michuano ya CHAN inayohusisha wachezaji wa ndani 

Mchezo wa pili utapigwa nchini Kenya August 04

Nyota watano wa Yanga ni miongoni mwa wachezaji 26 walioitwa kikosi cha Stars 

Wachezaji hao ni Metacha Mnata, Kelvin Yondani, Paulo Godfrey,  Abdulaziz Makame na Feisal Salum 'Fei Toto'

Wachezaji hao hawatakuwa sehemu ya kikosi cha Yanga ambacho August 04 kitacheza na AS Vita katika mchezo wa kuhitimisha kilele cha wiki ya Mwananchi ambao utapigwa uwanja wa Taifa

Siku hiyo nyota hao watakuwa Kenya wakiiwakilisha Stars kwenye mchezo wa marudiano dhidi ya Harambee Stars

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE →
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE →
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE →
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE →
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE →
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE →
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE →
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE →
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE →