Dk Msolla aongeza mzuka mazoezi ya Yanga Morogoro

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Jul 2019
Dk Msolla aongeza mzuka mazoezi ya Yanga Morogoro

Viongozi wa Yanga wakiongozwa na Mwenyekiti Dk Mshindo Msolla jana walikuwa mkoani Morogoro kujionea maandalizi ya kikosi cha timu hiyo chini ya kocha msaidizi Noel Mwandila

Viongozi hao walieleza kuridhishwa na maandalizi hayo ambapo Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano Frank Kamugisha alisema kambi hiyo itasaidia Yanga kuwa imara kabla ya kuanza msimu wa ligi

Aidha alisema CAF itakapotoa ratiba ya mechi za ligi ya mabingwa, wanaweza kwenda kuweka kambi nje ya nchi kutegemeana na mazingira ya timu watakayopangiwa kucheza nayo

Yanga iko mkoani Morogoro tangu Julai 08 ikifanya mazoezi makali chini ya Mwandila

Mpaka sasa imecheza michezo miwili ya kirafiki na kufanikiwa kuibuka na ushindi kwenye michezo yote

Ilianza kwa kuifumua Tanzanite Fc mabao 10-1 kabla ya hapo jana kuichapa Moro Kids mabao 2-0

Wiki ijayo inatarajiwa kuelekea mkoani Dodoma kuikabili Dodoma FC

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’