Banka aitabiria Yanga makubwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Jul 2019
Banka aitabiria Yanga makubwa

Kiungo wa Yanga Mohammed Issa 'Banka' amesema kikosi cha timu hiyo kimeimarika baada ya usajili uliofanywa

Akizungumza baada ya mchezo dhidi ya Moro Kids jana ambao Yanga ilishinda mabao 2-0, Banka amesema kikosi chao kimekuwa imara

"Tuko vizuri, timu yetu imeimarika tofauti na msimu uliopita," alisema Banka

"Kikosi chetu kimekamilika, wachezaji wote ni wazuri. Ili kupata nafasi kwenye kikosi cha kwanza inapaswa kujituma kwelikweli"

"Nadhani msimu ujao utakuwa mzuri kwetu tofauti na msimu uliopita"

Banka ambaye alianza kuitumikia Yanga mwezi Februari mwaka huu baada ya kumaliza adhabu ya kufungiwa miezi 14, kwa upande wake amesema msimu ujao amepania kufanya vizuri zaidi tofauti na msimu uliopita

"Msimu huu nimeanza vizuri, nahisi ntabadilika tofauti na nilivyokuwa msimu uliopita"

"Nimepata uzoefu mapema wa kuzoeana na wenzangu, nimejipanga kurudi tofauti na ilivyokuwa msimu uliopita"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
36m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’