Wachezaji wa Yanga walioitwa kikosi cha Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Sep 2017
Wachezaji wa Yanga walioitwa kikosi cha Stars
Baada ya kuachwa nje mara kadhaa, kwa mara ya kwanza kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania, Salum Mayanga amemuita mshambuliaji Ibrahim Ajib kwenye kikosi cha Stars.

Wengine walioitwa kutoka Yanga ni Ramadhani Kabwili, Gadiel Michael, Kelvin Yondani na Raphael Daudi.

Stars itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Malawi Oktoba 7, 2017. Mchezo huo ulio kwenye kalenda ya FIFA utapigwa kwenye dimba la Uhuru.

KIKOSI KAMILI

Makipa
Aishi Manula (Simba SC)
Ramadhani Kabwili (Yanga)
Peter Manyika (Singida United).

Mabeki
Gardiel Michael (Yanga)
Boniphace Maganga (Mbao FC)
Abdi Banda (Baroka FC/Afrika Kusini)
Kelvin Yondani (Yanga)
Salim Mbonde (Simba SC)
Erasto Nyoni (Simba SC)
Adeyum Ahmed (Kagera Sugar)

ViungoHimid
Himid Mao ambaye pia ni Nahodha Msaidizi (Azam FC)
Hamisi Abdallah (Sony Sugar/Kenya)
Muzamil Yassin (Simba SC)
Raphael Daud (Yanga)
Simon Msuva (Difaa El Jadidah/Morocco)
Shiza Kichuya (Simba SC)
Abdul Hilal (Tusker/Kenya)
Morel Orgenes (FC Famalicao/Ureno)

Washambuliaji
Mbwana Samatta (KRC Genk/Ubelgiji)
Ibrahim Hajib (Yanga)
Mbaraka Yussuph (Azam FC).
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
3h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
21h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’