Mshambuliaji mpya wa Yanga Sadney Urikhob tayari yuko mkoani Morogoro ambapo leo ameungana wenzake wanaoendelea na maandalizi ya msimu mpya
Urikhob amepatiwa program maalum ya mazoezi ili kumuwezesha kwenda sawa na wenzie ambao wako mkoani Morogoro kwa wiki moja sasa
Urikhob atatumia jezi namba 17 akirithi mikoba iliyoachwa na Amissi Tambwe





ADVERTISE HERE