Mshambuliaji mpya wa Yanga Sadney Ulikhob aliyekuwa akisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa timu hiyo amewasili
Urikhob amechelewa kuja nchini kutokana na kuchelewa kukamilika kwa vibali vyake vya kazi
Urikhob sasa ataelekea mkoani Morogoro kujiunga na wenzake
ADVERTISE HERE