Yanga imeanza 'kunoga'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Jul 2019
Yanga imeanza 'kunoga'

Kikosi cha Yanga kimeendelea kujifua mkoani Morogoro kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu ya Tanzania bara pamoja michuano mingine

Timu hiyo imekamilisha wiki moja tangu ilipowasili mkoani Morogoro wiki iliyopita

Baada ya kufanya mazoezi kwa siku saba, jana ilipata kipimo chake cha kwanza kwa kucheza na timu ya daraja la pili, Tanzanite Fc

Ushindi wa mabao 10-1 uliopatikana ni ishara kuwa mambo yameanza kuwa sawa

Kwa wale wanaobeza wasubiri, August 04 Yanga itacheza na AS Vita kwenye dimba la Taifa

Kwa sasa vijana hao wa Jangwani wanajiwinda kikamilifu kuanza vyema michuano ya ligi ya mabingwa hatua ya awali ambapo mchezo wao wa kwanza utapigwa kabla ya ligi kuanza

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’