Manyika aahidi kumuimarisha Kindoki

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Jul 2019
Manyika aahidi kumuimarisha Kindoki

Kocha wa magolikipa Peter Manyika amesema mlinda lango Klaus Kindoki amekuwa akionyesha bidii mazoezi na anaamini ataimarika

Manyika amesema alizungumza na mlinda lango huyo ambapo alimweleza matatizo yanayomkabili

Amesema ataendelea kufanya nae kazi huku akiahidi kumbadili kabisa

"Nimekuja nimemkuta Kindoki ambaye watu walikuwa wanamlalamikia sana lakini bahati nzuri anaonyesha bidii mazoezini," amesema

"Niko nae katika mazoezi.. kuna vitu ambavyo kipa anakuelezea, shida zake anakuelezea kama kocha ni jukumu langu kuzitatua"

"Nitafanya nae kazi katika wiki hizi za maandalizi baadae mtaona tumefikia wapi"

"Nadhani mashabiki wategemee, watamuona Kindoki mwingine mpya"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’