Maveterani wa Yanga, Pamba kuumana Mwananchi Day

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Jul 2019
Maveterani wa Yanga, Pamba kuumana Mwananchi Day

August 04 2019 kutakuwa na tukio kubwa ambalo litatikisa jiji la Dar es salaam kwa mabingwa wa kihistoria Tanzania Yanga kuumana na AS Vita Club katika mchezo wa Kimataifa wa kirafiki

Yanga itautumia mchezo huo kutambulisha kikosi chake

Lakini siku hiyo pia kutakuwa na matukio mengi tu ya burudani ukiwemo mchezo wa kukata na shoka kati ya maveterani wa Yanga na wenzao wa Pamba Fc

Yanga itashusha nyota wake waliotamba zamani kama Sunday Manara 'Computer', Edibiliy Lunyamila, Said Maulid, Maalim Saleh, Abubakar Salum 'Sure Boy' ambaye ni baba mzazi wa Salum Abubakar 'Sure Boy' anayekipiga Azam Fc

Lakini pia upande wa Pamba watakuwepo nyota kama Fumo Felician, George Masatu, Mao Mkami, Khalfan Ngasa, Nteze John, Hussein Masha na wengine kibao

Hii sio ya kukosa..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
2h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
7h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’