Vijana wa Yanga wanaendelea kujifua mkoani Morogoro yakiwa ni maandalizi ya msimu mpya
Kwa sasa furaha imerejea Jangwani kwani wachezaji wanafurahia kambi Morogoro wakati mashabiki wakiwasubiri kuwaona siku ya kilele cha wiki ya Mwananchi
Ni hapo August 04 kwa mchezo wa kukata na shoka dhidi ya AS Vita Club
Unaambiwa siku hiyo wananchi watafunga kazi na kukusanya kijiji uwanja wa Taifa...!
ADVERTISE HERE