Tambwe ataendelea kukosekana - Nsajigwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Sep 2017
Tambwe ataendelea kukosekana - Nsajigwa
Kocha msaidizi wa Yanga Shedrack Nsajigwa amethibitisha kuwa mshambuliaji Amissi Tambwe hatakuwemo kwenye kikosi cha Yanga kitakachoivaa Ndanda kesho.

Akizungumza na waandishi wa Habari leo Makao Makuu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es salaam, Nsajigwa amesema wachezaji wengine wako tayari kwa mchezo huo.

Aidha Nsajigwa amesema Thabani Kamusoko atarejea dimbani katika mchezo huo baada ya kukosekana kwenye mchezo uliopita dhidi ya Majimaji kutokana na kuwa majeruhi.

Tambwe hajaichezea Yanga kwenye mchezo wowote msimu huu tangu atoneshe jeraha la goti siku moja kabla ya mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba August 23.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’