August 04 2019 ndio kilele cha wiki ya Mwananchi ambapo siku hiyo mchezo wa kukata na shoka utapigwa kati ya miamba ya soka Tanzania Yanga dhidi ya miamba ya soka DR Congo AS Vita Club
Siku hiyo kutakuwa na matukio makubwa mawili, moja kutambulisha jezi za Yanga kwa ajili ya msimu wa 2019/20 na pili kutambulisha kikosi cha Yanga
Hiyo sio ya kukosa, Funga Kazi Kusanya kijiji...!
ADVERTISE HERE