Uongozi wa Yanga umetangaza kuwa kampuni ya GSM imeshinda tenda ya kutengeneza na kusambaza vifaa vya timu ya Yanga zikiwemo jezi
Mwezi uliopita Yanga ilitangaza tenda ya kusaka Mawakala wa kusimamia zoezi hilo
Ushirikiano ya GSM na Yanga utaendelea kuimarika baada ya kushinda zabuni hiyo
GSM iliichangia Yanga Tsh Milioni 300 kwenye Harambee ya Kubwa Kuliko iliyofanyika mwezi uliopita jijini Dar es salaam
ADVERTISE HERE