Kiraka Jaffar Mohammed alikuwa kwenye hatihati ya kutokuwa kwenye kikosi cha Yanga msimu ujao
Hata hivyo habari njema ni kwamba Jaffar ameungana na kikosi cha Yanga mkoani Morogoro kuendelea na maandalizi ya msimu mpya
Baada ya uongozi wa Yanga kutomuongezea mkataba Haji Mwinyi, Jaffar huenda akatumika beki wa kushoto akisaidiana na Mwarami Issa 'Marcelo'
Msimu uliopita Jaffar alicheza beki wa kushoto kwenye baadhi ya michezo ya Yanga
ADVERTISE HERE