Ratiba yote ya Yanga msimu huu itapatikana kupitia ukurasa wa RATIBA kwenye yetu pendwa. Tayari zoezi la kuweka mechi zote linaendelea kwenye ukurasa huo.
Aidha taarifa za kikosi kipya cha Yanga tayari zimewekwa kwenye ukurasa wa KIKOSI
MSIMU MPYA MUONEKANO MPYA
Kwa wale ambao wame Update wataona muonekano wa App ya Mwana Jangwani uko hivi;





Msimu mpya kupitia ukurasa wa RATIBA utapata matokeo papo kwa papo wakati mchezo ukiendelea
ADVERTISE HERE