Msimu ujao Yanga itakuwa na walinda mlango wawili wa Kimataifa, Farouq Shikalo kutoka Bandari Fc ya Kenya na Metacha Mnata kutoka Mbao Fc aliyokuwa akicheza kwa mkopo kutoka Azam Fc
Mnata amemwaga wino wa kuitumikia Yanga kwa miaka miwili
Jina lake limo kwenye orodha ya kikosi cha Yanga iliyotumwa TFF na CAF
Baada ya kupata changamoto kwenye ulinzi wa lango msimu uliopita, Yanga imemaliza tatizo la golikipa kwa kusajili walinda lango wawili bora ambao walishiriki fainali za Afcon mwaka huu
ADVERTISE HERE