Kikosi cha Yanga tayari kiko mkoani Morogoro ambapo leo kimeanza mazoezi ya maandalizi ya msimu mpya
Yanga inajifua kwenye viwanja vya chuo cha Biblia, Bigwa nje kidogo ya mkoa wa Morogoro

Maybin Kalengo, Lamine Moro, Mustapha Suleyman, Patrick Sibomana, Juma Balinya na Issa Birigimana ni miongoni mwa nyota wa kigeni walioanza mazoezi
Papy Tshishimbi, Paulo Godfrey, Mrisho Ngasa na Klaus Kindoki nao walijumuika katika mazoezi hayo
ADVERTISE HERE