Ligi Kuu kuanza kutimua vumbi August 23

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Jul 2019
Ligi Kuu kuanza kutimua vumbi August 23

Ligi kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2019/20 inatarajiwa kuanza August 23 ambapo Yanga itaanza kampeni ya kusaka ubingwa kwa kuumana na Ruvu Shooting August 28

Akizungumza na waandishi wa habari leo,  Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Boniface Wambura amesema mchezo wa kwanza wa watani wa jadi kati ya Simba dhidi ya Yanga utapigwa Januari 04 2020 Yanga ikianzia ugenini

Aidha,  mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba dhidi ya Azam Fc utapigwa August 17 kwenye uwanja ambao utatangazwa baadae

Wambura amesema upangaji wa ratiba msimu huu umezingatia kalenda za michuano ya CAF na FIFA

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’