Zahera afunguka usajili wa Shikalo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Jul 2019
Zahera afunguka usajili wa Shikalo

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amesema walikamilisha usajili wa Farouk Shikalo na kwamba sintofahamu iliyojitokeza itamalizwa

Zahera anayerejea Ufaransa baada ya DR Congo kuondoshwa michuano ya Afcon,  amesema wakati wakimsajili mlinda lango huyo,  walipewa taarifa kuwa mkataba wake ulikuwa umemalizika

Hata hivyo Bandari Fc imedai mkataba wake utamalizika Disemba

Katika hatua nyingine,  Zahera amesema atarejea nchini kuendelea na majukumu ya kuinoa Yanga baada ya siku 10

Amesema wachezaji wote walioshiriki Afcon wamepewa mapumziko ya siku 10

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’