Hivi vifaa kutoka Rwanda vinatua leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Jul 2019
Hivi vifaa kutoka Rwanda vinatua leo

Washambuliaji Issa Bigirimana na Patrick Sibomana wameondoka Rwanda kuja nchini kujiunga na wenzao tayari kwa kuanza mazoezi ya msimu mpya

Yanga itaanza kujifua kesho ambapo wachezaji wote wametakiwa kuripoti leo

Bigirimana na Sibomana ni miongoni mwa nyota nane wa kigeni waliosajiliwa na Yanga

Wengine ni Farouq Shikalo, Lamine Moro, Mustapha Suleyman, Juma Balinya, Sadney Urikhob na Maybin Kalengo

Mustapha, Balinya na Kalengo tayari wamewasili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’