Gadiel kumfuata Ajib Simba?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Jul 2019
Gadiel kumfuata Ajib Simba?

Sintofahamu ya mlinzi wa kushoto wa Yanga Gadiel Michael ni kama imefika tamati baada ya uongozi wa Yanga kuamua kusaka mbadala wake

Imebainika Gadiel inawezekana hakuwa na nia ya kuongeza mkataba kubaki Yanga na ndio maana alikuwa akiwahadaa viongozi wa timu hiyo

Inaelezwa beki huyo wa timu ya Taifa ya Tanzania pia alimzimia simu Meneja wake Jemedari Said ambaye alikuwa akishughulikia taratibu za mkataba wake na Yanga

Makubaliano binafsi tayari yalikuwa yamefikiwa lakini kikwazo ilikuwa kwa Gadiel kusinya mkataba huo

Huenda akaibukia klabu ya Simba siku chache zijazo

Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla amesema Yanga ni taasisi kubwa na haiwezi kuyumbishwa na mchezaji mmoja

Dk Msolla amesema watamtumia Ally Sonso nafasi ya beki wa pembeni lakini pia wako kwenye mchakato wa kusaka mbadala wa Gadiel

Yanga inamuwania beki wa Gor Mahia Shafiq Batambuze ambaye aliwahi kuichezea Singida United

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’