Ninja kulipwa mamilioni LA Galaxy

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Jul 2019
Ninja kulipwa mamilioni LA Galaxy

Aliyekuwa beki wa Yanga Abdallah Shaibu 'Ninja' amesajiliwa na MFK Vyskov ya Jamhuri ya Czech kwa mkataba wa miaka minne

Hata hivyo Ninja hataichezea timu hiyo kwani atapelekwa kwa mkopo klabu ya LA Galaxy inayoshiriki ligi kuu ya Marekani (MLS)

Inaelezwa LA Galaxy ndiyo itakayomlipa mshahara Ninja ambapo beki huyu kisiki anatarajiwa kupokea kitita cha euro 18,000 (Mil 46.7) kwa wiki

Ninja atapokea mshahara wa zaidi ya Mil 187 kwa mwezi ambapo mwaka mmoja atakaocheza LA Galaxy atakusanya zaidi ya Bil 2.2

Kama atafanikiwa kupata nafasi kwenye kikosi cha LA Galaxy, Ninja atacheza pamoja na mkongwe Zlatan Ibrahimovic nyota wa zamani wa vilabu vya AC Milan, Inter Milan, FC Barcelona, PSG na Manchester United

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’