Rasmi beki Abdallah Shaibu 'Ninja' hatakuwa sehemu ya kikosi cha Yanga msimu ujao baada ya kujiunga na klabu ya Vyskov inayoshiriki ligi daraja la tatu Jamhuri ya Czech
Vyskov itamtoa kwa mkopo nchini Marekani kucheza kunako klabu ya MFK LA Galaxy
ADVERTISE HERE