TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Yanga inawaalika vijana wote wenye vipaji na uwezo mzuri wa kucheza mpira kwenye usaili kwa ajili ya kujiunga na timu za vijana U17 na U20
Zoezi hilo la usaili (Kusaka vipaji) litafanyika tarehe 04-07-2019 mpaka 07-07-2019 kuanzia saa tatu asubuhi kwenye viwanja vya Faya Upanga jijini Dar es salaam
Litawahusu vijana wote waliozaliwa kuanzia mwaka 2002
ADVERTISE HERE