Yanga yapata muda kusaka mbadala wa Kindoki

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Jun 2019
Yanga yapata muda kusaka mbadala wa Kindoki

Baada ya siku kuongezwa dirisha la CAF, Yanga imepata muda wa kutosha kusaka mchezaji wa kigeni atakayechukua nafasi ya mlinda lango Klaus Kindoki

Kukamilika kwa usajiri wa Mkenya Farouq Shikalo, kumeilazimu Yanga imuondoe Kindoki licha ya kuwa bado mwafaka haujafikiwa kutokana na kiasi cha fedha ambacho mchezaji huyo ametaka alipwe kuvunja mkataba wake

Yanga inaweza kuitumia nafasi ya Kindoki kuboresha baadhi ya maeneo ambayo yatahitaji kuongezewa nguvu hasa kuelekea michuano ya ligi ya mabingwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’