Rostam na wengine walioahidi kuichangia Yanga watimiza ahadi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Jun 2019
Rostam na wengine walioahidi kuichangia Yanga watimiza ahadi

Mfanyabiashara Rostam Aziz aliyeahidi kuichangia Yanga Tsh Milioni 200, tayari amewasilisha kiasi hicho cha fedha kwa uongozi wa Yanga

Rostam aliahidi kuchangia fedha hizo siku ya Harambee maarufu kama kubwa kuliko iliyofanyika ukumbi wa Diamond Jubilee Juni 15 2019 jijini Dar es salaam

Jana Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla alithibitisha kupokea fedha hizo kupitia akaunri maalum ya Yanga

Aidha kampuni ya GSM iliyochangia Milioni 300 nayo imetimiza ahadi

Tangu kuanza kwa zoezi la kuichangia Yanga chini ya Kamati Maalum ya uhamasishaji, Yanga imekusanya zaidi ya Milioni 920

Wadau mbalimbali wameendelea kuwasilisha michango yao kama walivyoahidi

Juhudi za Wanayanga kupitia michango, zimefanikisha timu hiyo kusajili nyota wapya 13 na kuwaongezea mikataba wengine

Yanga pia inatarajiwa kwenda kuweka kambi nje ya nchi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’