Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera ataiwahi kambi ya kikosi cha timu hiyo inayoanza Julai 07 baada ya DR Congo kuondoshwa kwenye michuano ya Afcon 2019 inayoendelea nchini Misri
Usiku wa kuamkia leo DR Congo ilichapwa mabao 2-0 na Misri na hivyo kuyaaga mashindano hayo baada ya kupoteza michezo yote miwili waliyocheza
Kwenye mchezo wa kwanza, DR Congo ililazwa mabao 2-0 na Uganda
Juni 30 DR COngo itacheza mchezo wa kukamilisha ratiba dhidi ya Zimbabwe
ADVERTISE HERE