Mabosi Yanga wawahi Misri kukamilisha usajili wa nyota Afcon

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Jun 2019
Mabosi Yanga wawahi Misri kukamilisha usajili wa nyota Afcon

Dirisha la usajili wa CAF linaelekea ukingoni ambapo siku tatu pekee zimesalia kwa timu kukamilisha michakato yote

Inaelezwa mabosi wa Kamati ya usajili ya Yanga chini ya Mwenyekiti Frank Kamugisha wako nchini Misri kukamilisha usajili wa nyota ambao hawakuwa wamesaini mikataba ya kuwatumikia mabingwa hao wa kihistoria

Mlinda lango wa Bandari Fc na timu ya Taifa ya Kenya Farouq Shikalo ni miongoni mwa nyota hao waliopelekewa mikataba

Wengine wanaotajwa kumalizana na Yanga lakini hawakuwa wamesaini mikataba ni mlinda lango Metacha Mnata na beki Ally Mtoni ambao wote wako Misri

Ulimwengu ndani

Mshambuliaji Thomas Ulimwengu huenda nae akasajiliwa kuongeza nguvu kwenye kikosi cha Yanga ambacho kitashiriki michuano ya ligi ya mabingwa msimu ujao

Inaelezwa Yanga tayari imemalizana na mshambuliaji huyo wa timu ya Taifa ya Tanzania ambaye alin'gara kwenye mchezo dhidi ya Senegal

Ulimwengu aliyekuwa akiitumikia JS Saoura ya Algeria, inaelezwa ameachana na timu hiyo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’