Kindoki ataka alipwe 'asepe' kwao

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Jun 2019
Kindoki ataka alipwe 'asepe' kwao

Baada ya mashabiki wa Yanga kupinga klabu hiyo kuendelea na mlinda lango Klaus Kindoki, Mcongomani huyo amefunguka kuwa hana tatizo, ataondoka lakini kama atalipwa fedha zake zote za kuvunja mkataba

Inaelezwa Kindoki ametaka awekewe mezani Mil 45 ili asepe kwao

Licha ya kufanya vizuri kwenye baadhi ya michezo msimu uliopita, Kindoki amekosa imani kutoka kwa mashabiki kutokana na kiwango chake kutotabirika

Hivi karibuni kocha wa makipa Juma Pondamali alinukuliwa na vyombo vya habari akisema, mlinda lango huyo anakabiliwa na tatizo la kutojiamini awapo langoni 'anatetema'

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’