Michuano ya Afcon 2019 imenza Ijumaa Juni 21 ambapo wenyeji Misri waliumana na Zimbabwe katika mchezo uliomalizika kwa wenyeji kushinda 1-0
Ili kurahisisha ufuatiliaji wa taarifa za michuano hiyo, tumeweka kurasa maalum kwa ajili ya habari na ratiba za michezo yote itakayokuwa ikipigwa huko Misri




Michuano ya mwaka huu ni ya kipekee kwa Watanzania hasa ikizingatiwa timu yetu inashiriki kwa mara ya pili baada ya kusubiri kwa miaka 39
Ili kurasa hizo ziingie kwenye toleo lako, unachotakiwa kufanya ni Ku Update toleo ulilonalo kwa kutembelea : >> PLAY STORE
ADVERTISE HERE