Sijakurupuka kusaini Yanga - Balama

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Jun 2019
Sijakurupuka kusaini Yanga - Balama

Kiungo Mapinduzi Balama ambaye juzi alisaini mkataba wa miaka mitatu kuwatumikia mabingwa wa kihistoria Yanga, amesema ataendeleza makali aliyokuwa nayo Alliance Fc na hahofii changamoto ya kuwania namba kwenye kikosi cha kwanza

Ujio wa Balama Yanga umeongeza ushindani kwenye safu ya kiungo ambayo tayari ina mafundi kama Raphael Daudi, Papi Tshishimbi, Mohammed Issa, Feisal Salum na Abdulaziz Makame

Balama atakayetumia jezi namba saba iliyokuwa ikivaliwa na Obrey Chirwa, amesema hajakurupuka kusaini Yanga, anajiamini na anasubiri kwa hamu kuvaa uzi wa Yanga

"Sijakurupuka kusaini muda ulifika na naamini ni wakati wangu kuitumia Yanga ili kufikia mafanikio na wachezaji ninaokutana nao wajiandae katika ushindani wa namba licha ya kwamba Jangwani ni kama napita tu kwa vile ndoto zangu ni kucheza nje," amesema

Ujio wa Balama kwenye kikosi cha Yanga umepongezwa na wadau wengi wa soka, bila shaka kama ataendeleza makali aliyokuwa nayo Alliance Fc, maisha yake Jangwani yatakuwa ya furaha

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’