Jembe la Mwigulu lasubiri utambulisho Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Jun 2019
Jembe la Mwigulu lasubiri utambulisho Yanga

Rais wa klabu ya Singida United Dk Mwigulu Nchemba ambaye ni mdau mkubwa wa  Yanga, aliahidi kusajili mchezaji mmoja wa ndani ukiwa ni mchango wake

Mwigulu alitoa ahadi hiyo kwenye Harambee ya kuichangia Yanga iliyofahamika kama Kubwa Kuliko iliyofanyika wiki iliyopita ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam

Tayari inaelezwa usajili wa mchezaji huyo umekamilika na kinachosubiriwa ni uongozi wa Yanga kumtambulisha

Tetesi zinabainisha mchezaji huyo ni kiungo Kenny Alli aliyeitumikia Singida United msimu uliopita

Kenny ni mchezaji huru baada ya mkataba wake na Singida United kumalizika

Msimu uliopita Dk Mwigulu alifanikisha usajili wa kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' ambaye awali alitambulishwa kunako klabu ya Singida United lakini muda mchache baadae akaibukia Yanga

Mwigulu amesema mchezaji atakayemsajli msimu huu anaamini atakuwa na mchango mkubwa kama ilivyokuwa kwa Fei Toto

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’