Makonda akabidhi hati ya kiwanja cha ekari saba kwa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Jun 2019
Makonda akabidhi hati ya kiwanja cha ekari saba kwa Yanga

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda leo amekamilisha ahadi yake kwa kuikabidhi klabu ya Yanga eneo la ekari saba kwa ajili ya kujenga uwanja

Hafla hiyo iliyofanyika Kigamboni jijini Dar es salaam ilihudhuriwa na viongozi wa Serikali, Yanga pamoja na mashabiki wa mabingwa hao wa kihistoria

Makonda amesema uwanja aliowakabidhi Yanga una thamani ya Tsh Milioni 700

Aidha Makonda pia aliikabidhi TFF eneo lenye ekari 15 ambalo thamani yake ni Tsh Bilioni 1.5

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
22h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’