Idadi kubwa ya mashabiki wa Yanga wamejitokeza Kigamboni ambapo leo Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda ataikabidhi Yanga eneo la uwanja
Ni ahadi aliyoitoa wiki iliyopita kwenye Harambee ya Kubwa Kuliko iliyofanyika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam
Eneo hilo lina ukubwa wa ekari saba

ADVERTISE HERE