Okwi awakubali Ngoma, Kamusoko

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Sep 2017
Okwi awakubali Ngoma, Kamusoko
Mshambuliaji wa Simba Emanuel Okwi alichaguliwa kuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya Vodacom wa mwezi wa nane na kuzawadiwa kitita cha Mil moja na wadhamini wa ligi, kampuni ya Vodacom.

Mchezaji huyo amekabidhiwa zawadi yake leo na katika hafla hiyo moja ya maswali aliyoulizwa ni; nje ya Simba ni wachezaji gani wanaomvutia.

Thabani Kamusoko na Donald Ngoma ndiyo majina aliyotaja Okwi na ndio wachezaji anaotamani kucheza nao timu moja.

Kamusoko amekuwa katika kiwango bora tangu kuanza kwa msimu huu huku Donald Ngoma akiwa tayari amepachika mabao mawili ligi ya msimu huu.

Okwi anaonekana kuimarisha safu ya ushambuliaji ya Simba kwani mpaka sasa amepachika mabao sita kutoka michezo miwili aliyocheza.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8m ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
3h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
8h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
8h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’