Kilele wiki ya Mwananchi hadharani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Jun 2019
Kilele wiki ya Mwananchi hadharani

Uongozi wa Yanga umetangaza tarehe 27 Julai 2019, itakuwa kilele cha siku ya Mwananchi ukiwa ni utaratibu unaoanza kutumiwa na timu hiyo kukaribisha msimu mpya

Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela amesema siku hiyo wanayanga watakutana uwanja wa Taifa kuukaribisha msimu kwa kutambulisha kikosi cha timu hiyo

Kauli mbiu ya tukio hilo ni β€˜Funga kazi, Kusanya kijiji’

Wiki moja kabla ya siku ya kilele, Wanayanga watashiriki shughuli mbalimbali za kijamii katika maeneo yanayowazunguuka

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
38m ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
10h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
15h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
19h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
20h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
20h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’