Mlinda lango wa Yanga Beno Kakolanya aliyekuwa nje kwa zaidi ya wiki sita kutokana na majeruhi, ameanza mazoezi mepesi.
Kakolanya aliyekuwa akisumbuliwa na matatizo ya goti na nyonga amethibitisha kuwa hali yake imetengemaa na atajiunga kwenye kikosi cha kwanza karibuni.
Wakati akiuguza majeraha, Youthe Rostand aliyesajiliwa na Yanga kutoka African Lyon amekuwa mlinda lango wa kutegemewa na kwa kiwango alichoonyesha amempa wakati mgumu Kakolanya aliyekuwa anatarajiwa kuwa mlinda lango namba moja.

ADVERTISE HERE