Matuta yaikwamisha Yanga U20 dhidi ya Azam Fc fainali

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Jun 2019
Matuta yaikwamisha Yanga U20 dhidi ya Azam Fc fainali

Mchezo wa nusu fainali ligi kuu ya Vijana U20 kati ya Yanga dhidi ya Azam Fc umeamuliwa kwa changamoto ya mikwaju ya penati baada ya timu hizo kutoka suluhu ya bila kufungana

Azam imefanikiwa kuibuka na ushindi wa penati 3 dhidi ya Yanga ambayo ilikosa penati zote

Vijana wa Yanga wanastajili pongezi kwa hatua waliyofikia, bila shaka msimu ujao watarejea wakiwa imara zaidi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’