Zoezi la michango bado linaendelea ambapo watu wenye mapenzi mema na klabu ya Yanga wameendelea kujitolea kwa hali na mali kuipa sapoti timu hiyo
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka naye ameahidi kuichangia Yanga Tsh Milioni tano
"Tunakushukuru Mh Anthony Mtaka Mkuu wa Mkoa wa Simiyu na Wanayanga wa Simiyu kwa Ahadi ya Tsh 5,000,000 kuichangia Yanga," imesema taarifa ya Yanga
ADVERTISE HERE