Ile kesi ya dawa za kulevya inayomkabili Manji yasogezwa mbele

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Sep 2017
Ile kesi ya dawa za kulevya inayomkabili Manji yasogezwa mbele
Mfanyabiashara Yusuph Manji leo amefika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam ambako kesi inayomkabili ya matumizi ya dawa za kulevya ilipangwa kusikilizwa.

Hata hivyo kesi hiyo imeshindwa kusikilizwa, imesogezwa mbele hadi Septemba 25.

Kuahirishwa kwa kesi hiyo kulisababishwa na mkanganyiko wa taarifa zilizotolewa awali na Mahakama kuwa Hakimu anayesikiliza kesi hiyo asingekuwepo.

Manji amekana tuhuma za matumizi ya dawa za kulevya zinazomkabili na ametakiwa kuwasilisha utetezi wake kuanzia Septema 25.

Wiki iliyopita Manji alifutiwa kesi ya Uhujumu Uchumi iliyokuwa imemfanya akae mahabusu kwa miezi kadhaa bila dhamana.

Leo benchi la Ufundi, nahodha Nadir Haroub Cannavaro walifika Mahakamani kumpa pole Bosi huyo wa zamani wa Yanga.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’