Mchezo wa kirafiki kati ya Tanzania dhidi ya Zimbabwe uliopigwa usiku wa leo Jumapili, Juni 16 2019, umemalizika kwa sare ya bao 1-1
Zimbabwe ilitangulia kupata bao la kuongoza lakini nahodha Mbwana Samatta aliyeanzia benchi aliisawazishia Stars kwenye kipindi cha pili
Huo ulikuwa mchezo wa mwisho kwa kikosi cha Stars kujipima kabla ya kuanza michuano ya AFCON 2019
Stars tayari iko jiji la Cairo ambapo itacheza mchezo wake wa kwanza kundi C dhidi ya Senegal Juni 23 2019
ADVERTISE HERE