Kinda Mtibwa Sugar amfuata Msuva Difaa El Jadida

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Jun 2019
Kinda Mtibwa Sugar amfuata Msuva Difaa El Jadida

Kinda Nickson Kibabage wa Mtibwa Sugar U20 anatarajia kujiunga na klabu ya Difaa El Jadida yenye maskani yake nchini Morocco

Hii imekuja baada ya makubaliano ya pande zote mbili alikotoka (Mtibwa Sugar) ya Tanzania na anakokwenda (Difaa El Jadida) ya Morocco

Kibabage ameungana na winga wa zamani wa Yanga Saimon Msuva ambaye tayari ameitumikia timu hiyo kwa misimu miwili

Kibabage amesaini mkataba wa miaka minne

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
17h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
21h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
22h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
22h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
2d ago
READ MORE β†’