Uwoya achangia Milioni tano

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Jun 2019
Uwoya achangia Milioni tano

Mwanadada kinara wa Bongo Movies Irene Uwoya ambaye ni shabiki kindakindaki wa Yanga jana hakuwepo ukumbi wa Diamond Jubilee kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wake

Hata hivyo ameeleza kufurahi na kupongeza kufana kwa tukio hilo la kihistoria nae akiahidi kuchangia Tsh Milioni 5

Aidha, Uwoya ameungana na Rais Mstaafu Dk Jakaya Kikwete akiwataka mashabiki wa Yanga kuhamasishana kujitokeza kwa wingi uwanjani timu inapocheza kwani njia hiyo pia itasaidia kuongeza mapato ya timu

Jana Dk Kikwete alisema kuwa uchangamfu wa mashabiki wa Yanga umepotea miaka ya hivi karibuni na kuutaka uongozi wa timu hiyo unarudisha hali ya kujiamini kwa mashabiki wake

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
12h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
16h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
17h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
17h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’