Mwenyekiti wa kamati ya Hamasa na Uchangiaji ya Yanga Anthony Mavunde ametoa taarifa kuhusu michango ya wananchi kwa timu yao
Mavunde amesema tangu zoezi la uchangiaji lianze hadi kufikia leo jumla ya shilingi milioni 920 zimepatikana
Fedha hizo zinajumuisha ahadi zilizotolewa leo ambapo zaidi ya Shilingi milioni 263 zimeshatolewa na bado zoezi linaendelea
ADVERTISE HERE