Mpaka sasa michango ambayo tayari imekusanywa ukumbi wa Diamond Jubilee
Waziri Mkuu : Milioni 10
Rostam Aziz : Milioni 200
Dk Kikwete : Milioni 5
Kampuni ya GSM : Milioni 300
Kamati ya Hamasa : Milioni 50
Kamati ya Utendaji : Milioni 50
Wabunge Yanga : Milioni 40
Mwigulu : mchezaji mmoja wa ndani
RC Makonda katoa uwanja Kigamboni, Academy ya vijana Yanga kujengwa huko
Wadau wanaendelea kutoa michango ambap mpaka sasa zaidi ya Milioni 650 tayari zimepatikana
ADVERTISE HERE