Hawa hapa nyota saba wa kigeni waliomalizana na Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Jun 2019
Hawa hapa nyota saba wa kigeni waliomalizana na Yanga

Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa na Uchangishaji Mh Anthony Mavunde leo kwenye hafla ya Harambee ya kuichangia Yanga inayoendelea ukumbi wa Diamond Jubilee ametaja majina ya nyota saba wa kigeni ambao tayari wamemalizana na Yanga

Wachezaji hao watatambulishwa rasmi mwezi wa nane katika mchezo maalum utakaopigwa uwanja wa Taifa katika kileleni cha siku iliyopewa jina la siku ya Mwananchi

Nyota hao wengi tunawafahamu tayari;

Issa Birigimana, Sibomana Patrick, Sadney Urikhob, Maybin Kalengo, Mustapha Suleyman, Juma Balinya, Lamine Moro na Abdul-Aziz Makame kutoka visiwani Zanzibar

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
17h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
21h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
22h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
22h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
2d ago
READ MORE β†’