Twendeni Diamond Jubilee 'tukafanye yetu'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Jun 2019
Twendeni Diamond Jubilee 'tukafanye yetu'

Leo ndio ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ambapo lile tukio kubwa la Harambee ya kuichangia Yanga lijulikanalo kama Kubwa Kuliko litafanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam

Saa nne asubuhi ndio muda ambao ratiba ya shughuli nzima ya leo itaanza na kukamilika saa 11 jioni

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muunganio wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa atakuwa mgeni rasmi ambapo Rais Mstaafu Awamu ya Nne Dk Jakaya Kikwete ni miongoni mwa wageni Maalum walioalikwa

Wageni mbalimbali wamealikwa kutoka nje na ndani ya nchi

Uongozi wa Yanga umesema kwa wale ambao hawajapata tiketi wasiwe na wasiwasi, wafike Diamond Jubilee tiketi zitapatikana hapo

Kwa wale ambao watashindwa kufika Diamond Jubilee wanaweza kulifuatilia tukio kupitia Azam Sport 2 au mtandaoni kupitia tovuti ya www.kitangoma.com

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
34m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’