Tarimba afiwa na mtoto mwingine

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Jun 2019
Tarimba afiwa na mtoto mwingine

Mwenyekiti wa zamani wa Yanga Abas Tarimba ambaye sasa ni Mkurugenzi wa utawala na Utekelezaji Kampuni ya SportPesa, usiku wa kuamkia leo amepata pigo baada ya kufiwa na mtoto wake Aliasgher Tarimba Abbas

Kulingana na taarifa iliyotolewa na Tarimba jana, maziko ya kijana wake huyo yatafanyika leo saa 12:30 mchana msikiti wa Shia Ithnaasheri jijini Dar es salaam

Tunampa pole ndugu Tarimba kwa msiba huo, mungu ampe uvumilivu katika kipindi hiki kigumu kwani tunafahamu huyo ni mtoto wa pili anampoteza katika kipindi cha miezi mitatu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’